Dowry Camp
Mapambo ni kitu muhimu sana katika sherehe yeyote ile, iwe kwa kuvaa, kwa vinywaji au kupendezesha ukumbi, hasa katika sherehe yeyote ile kwani sherehe ikishafanyika imefanyika na hata kama upande wa mapambo ulikaa vibaya sherehe haiwezi kuludiwa tena.
Ni moja ya mahafali niliyopamba |
Usihangaike kwa kutafuta wapambaji wataalamu, Kwani wapambaji waliobobea katika shughuli hizi. Tunapatikana Manzese Tip-Top katika Kanisa la Pentecostal Nazareth Temple kwa Mch. Robert Paul.
Tunajishughulisha na upambaji wa sherehe mbalimbali kamavile Harusi, Send Off, Kichen Part, Birthday, Gladuation na Makanisani. Hata hivyo gharama zetu ni nafuu, pia tunapamba kwa kisasa zaidi {kutumia ramani}. Kabla ya kupamba tunachora ramani kwanza na tukimaliza ndipo tunapamba.
Baadhi ya mapambo yaliyokwisha kupambwa sehemu mbalimbali :-
<--- Ilikuwa Kanisani
Ilikuwa Harusini --->
<--- Ilikuwa Kanisani
Ilikuwa Harusini --->
<--- Ilikuwa Kanisani
Ilikuwa Harusini --->
<--- Ilikuwa Kanisani
Hongereni
JibuFutam191j3eongz720 cheap sex toys,dildos,male sex toys,bulk sex dolls,wholesale sex toys,penis pumps,dog dildo,black dildos,double dildos v173y7dlazl223
JibuFutar743m6anqsr420 vibrators,cheap sex toys,male sex dolls,dildo,dildo,sex chair,wolf dildo,double dildos,dildos p712j9gprrx572
JibuFutaFitness and Diet Guides
JibuFuta